
BBC News Swahili
564.0K subscribers
Verified ChannelAbout BBC News Swahili
Hii ni Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Soma sera yetu ya faragha hapa https://www.bbc.com/swahili/articles/c1d71y6q209o
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Wanajeshi hao walitoroka kutoka mji wa Uvira baada ya wapiganaji wa M23 kuuteka mji wa Kamanyola viungani mwa Uvira. Soma zaidi ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/live/cedl8gpp4let?at_campaign=ws_whatsapp

๐น๐ฟGavana wa BOT Emmanuel Tutubaย azungumza na BBC Tazama๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/c39v041j7r2o?at_campaign=ws_whatsapp

๐บ๐ฌJe, unayajua masaibu anayoyapitia kiongozi wa upinzani wa Uganda Dkt. Kizza Besigye? Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/cwyjxyj1lrlo?at_campaign=ws_whatsapp

โฝMan City yamgeuka Florian Wirtz Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/cj4n9rpex2qo?at_campaign=ws_whatsapp

๐ฐ๐ชโNajihisi niko huru baada ya kufunga kizaziโ Soma zaidi ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/c5y7ykgk536o?at_campaign=ws_whatsapp

๐บ๐ฆ๐ท๐บ๐ฅKujiunga na EU na Nato hivi karibuni "kutatusaidia sana"- Zelensky Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/live/ckgz9g70pknt?at_campaign=ws_whatsapp

Hezbollah inapata wapi pesa zake na kuisumbua Israel? Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/cd0ner3jvn8o?at_campaign=ws_whatsapp

๐บ๐ฆ๐ท๐บMiaka mitatu ya vita ilivyoibadilisha Ukraine Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/ce8mxz6e2d7o?at_campaign=ws_whatsapp

Ni kweli dawa hii huzuia ngozi kutozeeka haraka? Soma zaidi ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/c5y2dde1p6po?at_campaign=ws_whatsapp

๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธJe, ramani ya amani ya Mashariki ya Kati imekwama wapi? Soma hapa zaidi: ๐๐พ๐๐พ https://www.bbc.com/swahili/articles/cm2jl82e3r7o?at_campaign=ws_whatsapp