Simba Sports Club
1.4M subscribers
Verified ChannelAbout Simba Sports Club
Karibu kwenye channel rasmi ya Simba Sports Club ndani ya WhatsApp.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts
Kocha msaidizi Seleman Matola kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union.
Watoto wa Msimbazi tunakuja Chuga, Arusha tukutane Sheikh Amri Abeid Stadium ndani ya Samia Women’s Super Cup tarehe 4/03/2025.
Nahodha Mohamed Hussein akizungumza namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili Coastal Union.
Wagosi wa Kaya wanafata kwenye Ligi Kuu.
Last training before tomorrow's game.
Kikosi kimetua Kilimanjaro kwa kutumia ndege ya Air Tanzania na safari ya kuelekea Arusha itaendelea kutokea hapa.