SimplifyVFD

12.2K subscribers

Verified Channel

About SimplifyVFD

Online invoicing Software for small businesses. Save time and unnecessary hardware costs by issuing invoices directly from your Mobile devices or computer.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

SimplifyVFD
5/23/2025, 8:19:35 AM

Pamoja na kupakua App yetu au kuhifadhi namba yetu ya WhatsApp bado unaweza kuanza usajili moja kwa moja popote uliopo Baada ya usajili kukamilika, timu yetu itawasiliana na wewe kwa hatua zinazofuata za kuanza kutumia mfumo. Ni rahisi, haraka na kijanja! Wasiliana nasi sasa kupitia: +255 658 507 103 au +255 745 507 103 #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #WhatsAppYaKijanja #RisitiKidigitali

😂 🤣 2
Video
SimplifyVFD
6/17/2025, 7:31:30 AM

Ndani akaunti yako unaweza kuona na kupakua risiti zako za EFD wakati wote. #simplify#vfd#nizaidiyarisiti#risitikidigitali#vfd

Post image
Image
SimplifyVFD
2/17/2025, 6:41:48 AM

Ni muhimu kufanya Makadirio kwenye biashara yako ili uweze kuepuka riba na adhabu. #Simplifyvfd#Tambakidigitali#kodi#elimikanasimplify

🔥 1
SimplifyVFD
2/10/2025, 8:07:10 AM

Hii sio ya Kukosa .. Tunasambaza Upendo na Simplify VFD . Kwa gharama ya 197,400 sasa unaweza kuunganishwa na mfumo wa Simplify Vfd na kuchakata risiti zako za EFD kidigitali. Wasiliana nasi kupitia nambari +255 658 507 103 au +255 745 507 103 #SimplifyVFD #Simplifytambakidigitali #sambazaupendonasimplify

SimplifyVFD
2/3/2025, 10:22:17 AM

Repost Cc dikobymonalisa Bamutu ba biashara tunapitia mengi …ahhh! Lakini at least @simplifytz wanatupiga tafu.... Wacheki uzidi kutoboa kama MonLee. Ukiniona kitaa nidai risit.

🔥 😀 😢 3
Link copied to clipboard!