Maria Spaces WhatsApp Channel

Maria Spaces

18 subscribers

About Maria Spaces

#wenyenchiwananchi ndio MSINGI Wa Group, tuna mijadala kila Saa 2 usiku Jtatu na Alhamisi , inakuwa live kupitia twitter lakini tunasambaza kwenye mitandao mingine pia Kupitia ili group utaweza kuuliza maswali wakati mijadala iko live, kutoa mchango kwa maandishi , kufanya mapendekezo, kuibua Taarifa Ambazo ni kero katika jamii yako nasi tutazituma kwa upana kwenye mitandao yetu Tutasaidia kupigania haki na kutapokea matukio mbalimbali kutoka kwenu Wananchi Usikubali kunyamazishwa WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

No posts available for this channel.
Link copied to clipboard!