
BONGO PAVILION
1 subscribers
About BONGO PAVILION
AFRICAN TECH || REAL ESTATE || LIFESTYLES || AUTOMOTIVE TRENDS & DESTINATIONS TOURISM 🇹🇿🌍
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Kuna njia mpya imeibuka ya utapeli na uwizi wa account za watu za mitandao. Unakuta unapokea message pamoja na link inayosema (Kuna picha zako kwenye link hii). Tahadhari usiguse hiyo Link wala kufungua, itapelekea kuwapa access ya account yako. Mara nyingi hizi link zinatumwa kwenye WhatsApp, Telegram na Instagram Dm’s. Inachanganya maana hutumwa kwa namba au account ya watu wako wa karibu. Ukiona hivyo jua kuwa mtu wako wa karibu na yeye alitumiwa hivyo hivyo ila pasipo kujua akafungua Link husika.