TUNZAA WhatsApp Channel

TUNZAA

58 subscribers

About TUNZAA

App inayowezesha watumiaji kununua bidhaa kwa kulipa kidogo kidogo na kufikia malengo bila kuingia kwenye madeni. Anza na Tsh. 1,000 tu!

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

TUNZAA
TUNZAA
2/4/2025, 2:07:46 PM

Ukikamilisha oda yako, wewe ni mwendo wa kupokea vi parcel tu! 📦🔥 Angalia mwamba huyu amemaliza malipo yake, je, wewe unasubiri nini? #Tunzaa #NunuaKwaAwamu #anzakidogokidogo #lipakidogokidogo #mauzo #MalengoYako #TunzaaAPI #Malengo2025

Video
TUNZAA
TUNZAA
2/5/2025, 2:25:01 PM

💝 Ofa Maalum ya Valentine! Msimu huu wa Valentine, Tunawaletea usafirishaji wa bure kabisa kwa wateja wetu wa Dar es Salaam! ✨🎁 💡 Jinsi ya Kushiriki: ✔ Post picha au screenshot ya oda yako ambayo bado haijakamilika kisha tag @tunzaahq ✔ Taja marafiki zako 3 kwenye sehemu ya maoni ya chapisho letu ✔ Kamilisha oda yako kati ya tarehe 5- 12 Februari 🚀 Usikose nafasi hii #Tunzaa #SambazaUpendo #UsafirishajiBure #TunzaaValentine

Image
TUNZAA
TUNZAA
2/10/2025, 1:18:49 PM

Kipindi hichi cha wapendanao🥰, wasogezee watoto upendo nyumbani. Lipia kidogo kidogo na Tunzaa🥳🥳 Changamkia ofa ya valentine kwa kukamilisha malipo ya oda yako kabla ya valentines day💪🏾 #Tunzaa #mauzo #valentinesday

Video
TUNZAA
TUNZAA
2/3/2025, 1:33:18 PM

📢 Badilisha Biashara Yako – Jiunge na Webinari Yetu Mubashara! 💡 Anza kupokea malipo ya awamu kwa biashara yako 🗓 Tarehe: Jumatano, 5 Februari 2025 ⏰ Muda: Saa 8:00 - 9:00 Mchana 🌐 Jiandikishe Sasa: https://forms.gle/9D4xKwTvSmBDDFbk9

Image
TUNZAA
TUNZAA
2/4/2025, 2:06:06 PM

Tunajivunia ushuhuda wa wateja wetu! 🌟 Alianza kidogo kidogo na sasa amenunua bidhaa za thamani kubwa! 👏 Pakua aplikesheni na ujaribu leo! 🚀 #Tunzaa #lipakidogokidogo

Image
Link copied to clipboard!