The People's Republic of Stanza WhatsApp Channel

The People's Republic of Stanza

230 subscribers

About The People's Republic of Stanza

Yatukiayo kutoka nchi ya kufikirika ya STANZA. Uchambuzi wa masuala mtambuka yakumbayo bara la Afrika na Dunia kwa Ujumla. Uchambuzi wa Vitabu vihusuvyo Siasa,Madaraka,Mahusiano ya kidiplomasia,Ujasusi,Ushushushu na Maarifa mbalimbali

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

The People's Republic of Stanza
The People's Republic of Stanza
2/1/2025, 3:46:17 PM

🇨🇳CHINA China inajenga kituo kikubwa zaidi cha uongozi wa kijeshi duniani—mara 10 kuliko ukubwa Pentagon ya Marekani.

😮 1
Image
The People's Republic of Stanza
The People's Republic of Stanza
2/9/2025, 6:30:14 AM

Rais Mstaafu wa Namibia Samuel Nujoma (Sam Nujoma) amefariki leo akiwa na miaka 95.

😢 👍 😂 4
Image
Link copied to clipboard!