
Nipashe Digital
464 subscribers
About Nipashe Digital
Tunampa msomaji habari zenye uhakika kupitia mitandao yetu na Gazeti la Nipashe- Mwanga Wa Jamii [email protected] www.ippmedia.com, epaper.ippmedia.com, kwa maoni au habari yoyote unayopenda kuisoma wasiliana nasi kwa barua pepe: [email protected], WhatsApp +255745700710
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Sala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Bakwata-Masjid Noor, mkoa wa Simiyu. Kiongozi huyo na viongozi wengine wamejumuika na waislamu wengine kusali sala ya Eid. Maudhui na Elizabeth Zaya,Simiyu #NipasheMwangaWaJamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari


Katika ukurasa wa WhatsApp Chanel ya Rais Hussein Ali Mwinyi ameandika: "Nimejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa Masjid Taqwa, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo tarehe 7 Juni 2025." #NipasheMwangaWaJamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari
