
KITUFE
3 subscribers
About KITUFE
Tangia kupatikana kwa uhuru wa Nchi mbili zilizounda Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambazo ni Tanganyika na Zanzibar zimekuwa zikipigana vita na maadui watatu wakuu ambao ni 1. Ujinga 2. Umaskini 3. Maradhi Katika kupingana na maadui hawa watatu serikali ya jamhuri ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali za kuwashinda, zimechukuliwa hatua mbalimbali ili kuhakikisha maadui hawa watatu hawaishi Katika jamii ya watanzania. Karibu katika kituo cha KITUFE uweze kujua takwimu, hatua mbalimbali ambazo serikali ya jamhuri ya Tanzania pamoja na wadau wamezifanya katika kupambana na maadui hao. Hapa utaweza kuona Sera zilizoundwa na serikali, matokeo ya tafiti zilizofanywa na wadau mbalimbali.N.k Jiunge kupitia link hii https://whatsapp.com/channel/0029VabrexNBVJl5TZ7mkK2m
Similar Channels
Swipe to see more