
Conboi Cannabino
635 subscribers
About Conboi Cannabino
Itβs Cannabino! Stay locked in for exclusive updates on my music, shows, behind the scenes, merchandise, and life moments straight to your phone. Be the first to hear new releases and get exclusive access to everything Iβm working on Itβs Cannabino! Kaa karibu kwa taarifa za kipekee kuhusu muziki wangu, show, maisha yangu ya nyuma ya pazia, bidhaa zangu, na matukio ya maisha yangu moja kwa moja kwenye simu yako. Kuwa wa kwanza kusikia nyimbo mpya na kupata taarifa za kipekee haraka kwa kila kitu ninachofanya.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

π¬ Hatimaye #Tilalila feat. π @marioo_tz video dropping tomorrow π‘ 6:00 PM(EAT - East Africa Time) π. Video ikitayarishwa na @izzybree_ Subscribe to my YouTube channel right now, tap the π in bio na uwashe notification π Usikose π₯ Big Luv kwa team nzima @brotherhood_clothing_legacy @brotherhood_cllasic and @badnationtz This One right here is LEGENDARY . LEGACY IN MOTION π



Habar family...I hope mko okay gang.... Hivyo twende na new hit ya conboi cannabino ft Marioo....au mnasemaje streetgang

If you know, you knowβ¦ if you donβt, you will! Jambo kubwa linakuja soon gang. Hatimaye tumefikia muafaka wa ngoma itakayokuja next ππ₯