
VIBEZ SAFARIS
12 subscribers
About VIBEZ SAFARIS
ππ₯ VIBEZ SAFARIS - CHILL, EXPLORE, ENJOY!π₯π Wasee, mko ready kuchapa safari za maana? ππ¨ Vibez Safaris ndio plug yako ya travelβwhether ni kustream Maasai Mara π¦, kupiga selfie Naivasha πΈ, au kucheki vibes za coast πποΈ. π― Why ride with us? β Pocket-friendly dealsβhakuna stress ya mkwanja! β Mad fun & epic experiences ππΎπ₯ β Safe & comfortable rides! Saa hii ndo time ya kujibamba! Book your slot, tukufanyie safari ya power. DM ama tupigie π 0743920768 tukusort! #vibezsafaris #explorenastyle #tembeakenya ποΈππΏ
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

ππ₯ WRC Naivasha Experience β 22nd & 23rd March! π₯π Wasee, hii ni ile plan haubanduki! π Tukutane Naivasha WRC live vumbi ikitoka na engines zikichafua mtaa! π¨ππ₯ π Date: 22nd - 23rd March π Baze:Naivasha ποΈ Vibe:Mad fun, mahigh-speed thrills na memories za lifetime! Usiachwe nyuma! DM saa hii ujishindie slotππ₯ Doooh ni affordable kuruka 2500 bob pekeee!!! Unangoja nini