NillanForums WhatsApp Channel

NillanForums

155 subscribers

About NillanForums

Welcome to NillanForums. This is your favourite Channel forever

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

NillanForums
NillanForums
5/28/2025, 2:47:09 AM

Hii video nimeiangalia mara nyingi sana nikajiuliza kwanini media zoote Tanzania kila mmoka kwa muda wake wakaanza kuionesha na kuitangaza miradi yetu?. Hii itasaidia sana kuongeza uwekezaji wa kigeni na hata utalii kwa maana kuna miradi mingi tu inahusika moja kwa moja katika sekta ya utalii na kadharika. Miundo mbinu kama barabara ni catalyst kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yoyote duniani leo hii viongozi wetu wanapo fanikiwa kufanya mambo makubwa kama hilo la daraja kubwa mkoani Mwanza ni neema na baraka kwa watanzania wote na wageni. By Prof Nilla Sayi

❤️ 🙏 2
Video
Link copied to clipboard!