Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #rastamanonthemic
Posts
KICC_KENYA on Instagram: "BREAKING NEWS:Rastaman Ashika Mic Ya NTV pale KICC "Waaah! Mi niko tu hapa juu kwa @KICC_kenya Helipad, nikibambika hadi nikachukua mic ya NTV juu ya excitement bana! First time kushika mic ya newsroom, sasa mi ni anchor ama ni Ni story za jaba? 'Reporting live from Nairobi skies... kuna wazungu hapa nyuma wakiwonder why Rasta ako hyped, but view iko legit breathtaking bana!' Na unajua nini? Hii experience yote ni KSh 200 bob tu! Hapo chini receptionist Njau alinishow love hadi nikaskia niko home. Big up bro! Sasa nangoja tu breaking news yangu ikae viral: "Rastaman apatikana akishoot news juu ya Nairobi na vibe ya mtaa!" Kama haujafika Helipad, uko wapi bana? Utaona city na matawi yake, utasnap content ya international levels na bado ulibeba tu 200 bob. Acha joke! #KICCViews #RastamanOnTheMic #Vibesatkicc #kicchelipad"
BREAKING NEWS:Rastaman Ashika Mic Ya NTV pale KICC "Waaah! Mi niko tu hapa juu kwa @KICC_kenya Heli...