Tanzania National Parks

Tanzania National Parks

384.3K subscribers

Verified Channel
Tanzania National Parks
Tanzania National Parks
January 22, 2025 at 04:06 PM
TANAPA tunawajali, jana Januari 21, 2025 tulizindua rasmi kampeni ya “Valentine *Weekend GateAway na TANAPA* kwa ajili ya wapendanao kujivinjari msimu huu wa Sikukuu ya Wapendanao. 📌 Tembelea Hifadhi za Taifa Tanzania uweze kupata uzoefu usiosahaulika pamoja na umpendae. 📍 Saanane Island, Mwanza. #valentineweekendgateawaynatanapa https://www.instagram.com/reel/DFILCW2tc37/?igsh=dWt1c3ZxbHdkend5
👍 😂 😮 🙏 4

Comments