Wasafi Media

Wasafi Media

389.4K subscribers

Verified Channel
Wasafi Media
Wasafi Media
January 20, 2025 at 09:06 AM
"Fikiria jinsi ilivyo kwa shabiki wa Manchester United. Hebu fikiria jinsi ilivyo kwangu kwamba tunapata kocha mpya ambaye anapoteza zaidi ya kocha aliyeondoka (Erik ten Hag). "Sisi ni timu mbaya zaidi, labda, katika historia ya Manchester United. Najua unataka vichwa vya habari, lakini nasema hivyo kwa sababu tunapaswa kukiri hilo na kubadilisha hilo,” Amorim aliiambia Sky Sports. Soma Zaidi 👇🏼 https://wasafimedia.co.tz/amorim-yawezekana-hii-ndio-united-mbaya-zaidi-kwenye-histori/ #wasafisports
❤️ 😂 👍 😢 🙏 🤣 🥰 24

Comments