Wasafi Media

Wasafi Media

389.4K subscribers

Verified Channel
Wasafi Media
Wasafi Media
January 21, 2025 at 07:57 AM
“Tumebakisha michezo miwili na kama tutashinda yote tunafuzu, hata tukishinda moja pia uwezekano upo mkubwa. “Lazima tupate alama kwa sababu tulijitengenezea matatizo sisi wenyewe, hasa kwa Feyenoord, hata mchezo tuliopoteza huko Lisbon. "Lakini wakati huo tulikuwa na shida nyingi. Hatukuweza kushindana tunavyotaka kwa sababu nyingi,” amesema Pep Guardiola. Soma Zaidi 👇🏼 https://wasafimedia.co.tz/man-city-kama-yanga-huko-uefa-ni-mwendo-wa-calculator/ #wasafisports
😂 👍 ❤️ 😢 🙏 🖕 🇹🇿 🇺🇬 😁 😆 65

Comments