Wasafi Media

Wasafi Media

389.4K subscribers

Verified Channel
Wasafi Media
Wasafi Media
January 23, 2025 at 07:31 AM
Achraf Hakimi amesaini mkataba mpya na Paris Saint-Germain (PSG) ambao utamuweka klabuni hapo hadi Juni 2029. Tangu alipojiunga na PSG mwaka 2021, Hakimi amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi hicho, akionyesha uwezo mkubwa chini ya kocha Luis Enrique. Soma Zaidi 👇🏼 https://wasafimedia.co.tz/hakimi-aongeza-miaka-minne-kuitumikia-psg/
❤️ 👍 😢 🙏 🇲🇦 👏 💪 🔥 🖕 32

Comments