Wasafi Media

Wasafi Media

389.4K subscribers

Verified Channel
Wasafi Media
Wasafi Media
January 24, 2025 at 07:50 AM
WALIOMLILIA GAMONDI WAJIANDAE NA MAUMIVU MAPYA “Mitaa ilisemaje kuhusu kuondoka kwa Gamondi? Kila mmoja alitabiri anguko la Yanga. Kila mmoja aliiona Yanga ikipungua nguvu kwa asilimia kubwa. Wengi hawakuiona Yanga ikifanya maajabu yoyote baada ya kuondoka kwake. Na leo hii Yanga imeshindwa kutinga Robo Fainali huko CAFCL na wasiwasi ni mkubwa sana miongoni mwa Wananchi” KUSOMA MAKALA HII BOFYA HAPA 👇🏼 https://wasafimedia.co.tz/waliomlilia-gamondi-wajiandae-na-maumivu-mapya/ #wasafisports
😂 👍 ❤️ 🙏 😏 😢 😮 🏳️‍🌈 💎 🖕 81

Comments