
Wasafi Media
January 25, 2025 at 09:17 AM
“Sina uhakika kama Elie Mpanzu atadumu Tanzania kwa zaidi ya miaka 5. Maana tumekuwa na desturi ya kuchoka kula pilau na kutamani tembele kitu ambacho sio dhambi, ila kwa wanaojua biashara ya soka, huyu Kibisawala ni 'icon' ya vipaji halisi na maridhawa kama Bernard Morison ama Iddy Nado”
Kupata undani zaidi wa makala hii bofya hapa👇🏼
https://wasafimedia.co.tz/tukiuliza-ya-mpanzu-tuyakumbuke-ya-peter-banda-wonderkid/
#wasafisports
❤️
👍
😂
🙏
😮
🇹🇿
🔥
😢
✌
🇧🇮
112