Tanzania National Parks

Tanzania National Parks

384.3K subscribers

Verified Channel
Tanzania National Parks
Tanzania National Parks
February 14, 2025 at 06:26 AM
*Mtoto wa Nyumbu* anapozaliwa ndani ya takribani *dakika 2 - 3* huanza kuinua kichwa chake na kulazimisha kusimama, hata hivyo baada ya *dakika 7 - 15* anakuwa tayari amesimama na kuanza *harakati zao zisizoisha* za kukimbia na mama yake. Kwa undani zaidi wa stori hii fuatilia makala hii inayoelezwa na *Mhifadhi Fredy Shirima* kutoka *Hifadhi ya Taifa Serengeti.*
❤️ 👍 😢 😂 😮 🙏 28

Comments