
OFISI YA RAIS - TAMISEMI
February 13, 2025 at 04:10 PM
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Festo Dugange amempongeza
Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashari ya Wilaya ya Kilolo, Mwenyekiti wa Halmashauri, Madiwani pamoja na Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa madarasa na mabweni katika Shule ya Sekondari Kilolo.
👍
❤️
😮
7