
Prime Minister Tanzania
January 26, 2025 at 04:35 PM
Wana-CCM jiandaeni na Uchaguzi Mkuu, elezeni kwa watanzania utekelezaji wa Ilani-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
📍Katavi-Tanzania
🗓️Januari 26, 2025
👍
❤️
🙏
👏
✍️
🇹🇿
🔟
😢
26