Air Tanzania Company Limited - ATCL
Air Tanzania Company Limited - ATCL
January 31, 2025 at 02:09 PM
KAMWENE IRINGA! Kuanzia 22 Februari 2025, safiri na Air Tanzania kwenda Iringa kwa TZS 393,000 tu (return ticket)! Safari zitakuwa mara mbili kwa wiki, siku za Jumatatu na Alhamisi. Weka nafasi yako sasa kupitia www.airtanzania.co.tz au piga simu +255 748 773 900
❤️ 👍 🙏 😢 😮 112

Comments