Prime Minister Tanzania
February 8, 2025 at 11:24 AM
Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akipokea kwa naiba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo ya kutambua na kuthamini Mchango wa Rais katika kuimarisha masuala ya utambuzi nchini kupitia oparesheni ya Anwani za Makazi ya 2022. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Anwani za Makazi kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Februari 8, 2025.
👍
❤️
👏
🙃
🙏
7