Prime Minister Tanzania

Prime Minister Tanzania

257.1K subscribers

Verified Channel
Prime Minister Tanzania
Prime Minister Tanzania
February 8, 2025 at 12:24 PM
utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi nchini kwa njia ya operesheni umewezesha ukusanyaji wa taarifa milioni 12.3 za anwani za makazi zilizohifadhiwa katika mfumo wa kidijitali wa anwani za makazi unaojulikana kwa jina la National Physical Addressing (NaPA)-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Februari 08, 2025 *▪️KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA ANWANI ZA MAKAZI*
👍 🙏 ❤️ 😂 💪 🎉 🔞 😮 44

Comments