Prime Minister Tanzania

Prime Minister Tanzania

257.1K subscribers

Verified Channel
Prime Minister Tanzania
Prime Minister Tanzania
February 10, 2025 at 08:19 AM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Livingstone Lusinde wa Mtera (wa tatu kulia), Mhandisi Godfrey Kasekenya wa Ileje na Naibu Waziri wa Ujenzi (wa pili kulia) na Cosato Chumi wa Mafiga Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki. bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2025.
👍 ❤️ 🙏 😮 😂 🤣 🇹🇿 👏 👸 💪 84

Comments