
Prime Minister Tanzania
February 13, 2025 at 07:07 AM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya Wabunge, wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Februari 13.2025.