
Prime Minister Tanzania
February 13, 2025 at 10:08 AM
Toeni kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara kwa wakandarasi wenye uwezo wa kujenga kwa viwango vinavyoendana na thamani ya fedha-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Februari 13, 2025
▪️Maswali ya Wabunge kwa Waziri Mkuu
👍
❤️
👏
😂
🙏
8