CarolNdosi

CarolNdosi

182.9K subscribers

Verified Channel
CarolNdosi
CarolNdosi
February 12, 2025 at 01:45 PM
Mtandao salama ni haki ya kila mmoja wetu, lakini ukatili mtandaoni unaendelea kuwa changamoto. Tunatoa huduma ya ushauri, msaada wa kisheria na wa kisaikolojia kwa wale wanaokumbana na ukatili wa mtandaoni. Usikae kimya—pata msaada sasa kupitia HELPLINE yetu 📞+255 676 333 935. Pamoja, tunaweza kufanya mtandao kuwa salama kwa wote! #usalamamtandaoni #saferinternet #digitalsafety #mitandaonasisi #digitaltanzania
👍 ❤️ 🙏 😮 37

Comments