
Visit Ngorongoro - Tanzania
February 7, 2025 at 11:19 AM
Katika mapango ya Amboni, historia inakutana na mapenzi na ladha ya mapishi ya kitanga. ❤️ Tukio la asili lililosheheni siri na uzuri, likikupa nafasi ya kuandika kumbukumbu mpya na mpendwa wako.
#dikolaamboni #ambonicaves #sikuyawapendanao
👍
❤️
😂
10