WIZARA YA FEDHA - TANZANIA

WIZARA YA FEDHA - TANZANIA

180.2K subscribers

Verified Channel
WIZARA YA FEDHA - TANZANIA
WIZARA YA FEDHA - TANZANIA
February 12, 2025 at 12:40 PM
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania -TADB, Bw. Frank Nyabundege, akiwasilisha utekelezaji wa majukumu ya Benki hiyo, mbele ya Manejimenti ya Wizara ya Fedha, Jengo la Hazina-Treasury Square, Jijini Dodoma, ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu-Hazina, Bi. Jenifa Christian Omolo.
❤️ 👍 5

Comments