
Tukiio
February 11, 2025 at 08:39 AM
Kuanza #szb2025 kwa KISHINDO! Jiunge nasi kwa gwaride la sherehe la ufunguzi wa tamasha! Kutoka Kisonge (Michenzani) hadi bustani za Forodhani, tutakuwa tukicheza, kuimba, na kusherehekea muziki wa Afrika chini ya anga la Afrika!
Gwaride la Sherehe 🎪🤹🏾♀💃🏿🎶
📍Kisonge (Michenzani) hadi Bustani za Forodhani
⏰ 15:00 hadi 16:00
Jukwaa la Forodhani 🎪
• Joyce Babatunde 🇨🇲 16:30 - 17:20
(Muziki wa jazz wa mchanganyiko)
• Baba Kash & The Band 🇹🇿 17:40 - 18:30
(Singeli)
Jukwaa Kuu 🏯
• Zanzibar Taarab Heritage Ensemble 🇹🇿 19:05 - 19:55
(Magwiji wa Taarab)
• Wd Abo 🇸🇩 20:20 - 21:10
(Mwanaharakati wa kitamaduni)
• Leo Mkanyia & The Swahili Blues 🇹🇿 21:30 - 22:20
(Blues rumba)
• Assa Matusse 🇲🇿 22:40 - 23:30
(Muziki wa jazz wa mchanganyiko)
• Étinsel Maloya 🇷🇪 00:00 - 01:00
(Kiasili)
Jukwaa la Mchezo 🏟
• Boukuru 🇷🇼 20:40 - 21:30
(Jazz la kiroho)
• Ukhoikhoi 🇿🇦 22:00 - 22:50
(Electro)
• Frida Amani 🇹🇿 23:20 - 00:10
(Hip hop)
Jiungeni nasi kwa toleo la 22 la Sauti za Busara litakalofanyika tarehe 14 - 16 Februari 2025
😮
1