Chama Cha Mapinduzi Taifa

Chama Cha Mapinduzi Taifa

82.2K subscribers

Verified Channel
Chama Cha Mapinduzi Taifa
Chama Cha Mapinduzi Taifa
January 17, 2025 at 09:26 PM
Mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi haufuatiliwi tu na watanzania bali hata watu waliopo nje ya nchi wanaufuatilia. Chama cha Mapinduzi pamoja na Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan kina wapenzi, mashabiki na wafuasi kwa Afrika yote na kila mmoja anatamani kuona ni nini kitazungumzwa kwenye chama hiki kikongwe na cha kuigwa barani Afrika. #ccmimara #kaziiendelee #mkutanomaalumccm
👍 ❤️ 🚀 4

Comments