
Chama Cha Mapinduzi Taifa
January 27, 2025 at 03:27 PM
MONGELLA AONGOZA WATUMISHI WA CCM NA JUMUIYA MAKAO MAKUU, MKOA NA WILAYA KUSHEHERKEA KWA SIKU YA KUZALIWA MWENYEKITI WA CCM NDG. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
📍Dodoma
🗓️ 27.01.2025
Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg. John Mongella ameungana na watumishi wa CCM Makao Makuu, Mkoa na Wilaya na viongozi wa Serikali Mkoa wa Dodoma kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndugu. Samia Suluhu Hassan kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoani Dodoma.
#kaziiendelee
👍
😂
❤️
🙏
🇹🇿
💚
😭
15