
Chama Cha Mapinduzi Taifa
February 10, 2025 at 05:53 PM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi Lamadi Wilaya ya Busega, aliposimama kuzungumza na wananchi akiwa njian kuelekea Mkoani Mwanza mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya kuimarisha chama Mkoani Mara.
#ccmimara
#kaziiendelee
👍
❤️
3