Chama Cha Mapinduzi Taifa

Chama Cha Mapinduzi Taifa

82.2K subscribers

Verified Channel
Chama Cha Mapinduzi Taifa
Chama Cha Mapinduzi Taifa
February 11, 2025 at 12:15 AM
WASIRA AWAHAKIKISHIA WANA MAGU SERIKALI ITAENDELEA KUFUNGUA UCHUMI. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewahakikishia wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo ya kilimo kwa lengo la kutanua wigo wa maendeleo. Miundombinu hiyo ni pamoja na kutoa mikopo ya matrekta wa wakulima wa pamba kwa nia ya kuwaongszea uwezo wa kuzalisha na kupata mavuno mengi zaidi. Aasira ameyasema hayo wilayani Magu aliposimama kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea jijjni Mwanza ambako kesho atafanya mkutano mkubwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. == ==
👍 ❤️ 😂 💚 😢 🙏 👏 32

Comments