Hussein Ali Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi

105.0K subscribers

Verified Channel
Hussein Ali Mwinyi
Hussein Ali Mwinyi
February 15, 2025 at 05:09 PM
RAIS MWINYI:TUHAMASISHE WANA CCM WAJITOKEZE KUPIGA KURA KWA WINGI Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura ili CCM ishinde kwa Kishindo. Dkt. Mwinyi ambae ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM ameyasema hayo alipozungumza na Wanachama na Wananchi Mauwani, Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba Katika Mkutano Maalum wa Mapokezi yake baada ya Kuteuliwa hivi Karibuni kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
❤️ 🇷🇺 👍 🙏 6

Comments