TANTRADETANZANIA

TANTRADETANZANIA

31.4K subscribers

Verified Channel
TANTRADETANZANIA
TANTRADETANZANIA
February 4, 2025 at 06:50 PM
Wadau mbalimbali wa biashara wakiwa kwenye mikutano ya B2B kwenye Kongamano la Biashara la Egypt na Tanzania linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Johari Rotana Dar es Salaam, Kongamano hili limefanyika leo tarehe 4 Februari 2025, likiwa na dhamira ya kuwakutanisha wadau wa biashara kutoka Tanzania na Egypt.

Comments