TANTRADETANZANIA

TANTRADETANZANIA

31.4K subscribers

Verified Channel
TANTRADETANZANIA
TANTRADETANZANIA
February 11, 2025 at 11:48 AM
WAKATI NI SASA MADE IN TANZANIA. ____ Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi Latifa M Khamis akiwasilisha mchakato wa upatikanaji wa bunifu tatu bora za rajamu (nembo) ya Tanzania, (Made in Tanzania) iliyofanyika tarehe 11 February, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Comments