TANTRADETANZANIA

TANTRADETANZANIA

31.4K subscribers

Verified Channel
TANTRADETANZANIA
TANTRADETANZANIA
February 11, 2025 at 11:50 AM
Picha za washindi wa tatu bora waliobuni nembo ya Made in Tanzania wakipokea vyeti vya pongezi kutoka kwa Mgeni rasmi Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo (Mb) katika Hafla iliyofanyika tarehe 11, Februari, 2025 katika ukumbi wa mikutano jijini JNICC Dar es Salaam
👍 1

Comments