Neema Za Dk. Mwinyi

Neema Za Dk. Mwinyi

26.2K subscribers

Verified Channel
Neema Za Dk. Mwinyi
Neema Za Dk. Mwinyi
February 12, 2025 at 09:07 AM
MAPOKEZI YA MGOMBEA WA URAIS CCM ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI Hafla ya mapokezi ya Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Shamrashamra za mapokezi hayo zinatarajiwa kuwa za aina yake, zikianzia Uwanja wa Ndege wa Pemba, ambapo atapokelewa kwa heshima na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM, na maelfu ya Wananchi. Baadaye, msafara utaelekea Viwanja vya Kiwani, Mkoa wa Kusini Pemba.
❤️ 1

Comments