Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
January 22, 2025 at 05:45 PM
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika anayeshughulikia masuala ya nishati na mabadiliko ya hali ya hewa, Dkt. Kevin Kariuki akizungumza kuhusu Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika utakaofanyika Januari 27 na 28, 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
😢 👍 3

Comments