Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
February 3, 2025 at 11:22 AM
Naibu Waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Februari 3, 2025 wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Tauhida Gallos aliyetaka kujua namna Serikali imejipanga kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandao haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu.

Comments