
Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
February 3, 2025 at 12:06 PM
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Zabibu Mpangule akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini na kuanza kwa Mwaka wa Mahakama katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma leo Februari 3, 2023.