Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
February 3, 2025 at 08:21 PM
UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 25% Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia 25% za ujenzi wake.
🔥 1

Comments