
Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali
February 5, 2025 at 07:59 AM
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Februari 5, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Latifa Juakali aliyetaka kujua Serikali ina mpango gani wa kuwatambua
vijana wenye ujuzi ambao hawatambuliki rasmi ili
kuwaendeleza.
🤮
1