PZG: PR, Media & Comms
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 16, 2025 at 07:51 AM
                               
                            
                        
                            *UZINDUZI WA KITABU CHA JUA Na UA* 
Mwandishi wa vitabu na Afisa Mtendaji Mkuu wa PZG-PR, Prudence Zoe Glorious amewashauri wazazi na walezi kujenga mazoea ya kusoma vitabu vya hadithi mbalimbali kama cha 'JUA Na UA' pamoja na watoto wao, kama njia mojawapo ya wao kujifunza maadili na kuwajengea utamaduni wa kupenda kusoma vitabu. Hii ni kwa sababu kuna maarifa mengi mbali na kuwajengea watoto msingi mzuri wa lugha.
Prudence Zoe Glorious ameshauri hayo leo katika kipindi cha Jambo Wikiendi cha TBC1.
#simulizinjema
#maadilimema