KBC Digital

KBC Digital

540.8K subscribers

Verified Channel
KBC Digital
KBC Digital
February 16, 2025 at 02:29 PM
UCHAGUZI WA AUC “Hatujachukulia matokeo ya uchaguzi kama suala la kibinafsi. Kisheria, mataifa yanakutana kila baada ya miaka nne na kuchagua kiongozi wa kuendesha tume ya umoja wa Afrika. Marais wetu wamefanya hivyo na wametoa uamuzi kama viongozi wetu, sasa tushikane tusonge mbele." -Musalia Mudavadi, Mkuu wa Mawaziri #kbcniyetu^EM

Comments