Citizen Digital

Citizen Digital

658.8K subscribers

Verified Channel
Citizen Digital
Citizen Digital
February 27, 2025 at 02:56 PM
Je, afya ya akili huathiri vipi masomo shuleni? Jiunge nasi Alhamisi kuanzia 8:00 usiku pamoja na Qtee, Eskimos Kobia kutoka chama cha wazazi kitaifa, Mauryn Wanjiku na Vivian Okello kutoka Hospitali ya Chiromo tutakapokuwa tukijadili swala hili zaidi Usikose! #radionumberone
Image from Citizen Digital: Je, afya ya akili huathiri vipi masomo shuleni?   Jiunge nasi Alhamisi...
❤️ 👍 😮 11

Comments