Kijiweni

Kijiweni

439.8K subscribers

Verified Channel
Kijiweni
Kijiweni
February 27, 2025 at 10:22 AM
Bila shaka hakuna ambaye hajacheza mchezo ambao una mpira huu.. Kwenu ulikua unaitwaje? Na sheria gani ilikua ni lazima iwepo kwenye Mchezo huu? Njoo Tuzungumze Kijiweni Sasa ➡️➡️ https://www.facebook.com/share/p/1HHNDzwTwu/
Image from Kijiweni : Bila shaka hakuna ambaye hajacheza mchezo ambao una mpira huu.. Kwenu ...
😂 ❤️ 👍 🔥 🙏 🤣 😢 ✌️ 🇹🇿 😆 96

Comments